80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

MARCOS ALONSO AIGOMEA MADRID

Na Yego Sholla

Marcos Alonso amefunga mlango wa yeye kurejea Real Madrid majira ya kiangazi na kusisitiza kwamba anabaki Chelsea.

Alonso amehusishwa na kurejea katika mji huo mkuu wa Hispania lakini amesisitiza kwamba atabaki London.

" Sijafikiria kuhusu uwezekano wa kurejea Real Madrid , najaribu kujitoa kwa asilimia zote kwa ajili yangu na timu yangu."

" Nilicheza mechi yangu ya kwanza ndani ya Madrid chini ya (Manuel) Pellegrini msimu wa 2009/2010  na majira hayo ya kiangazi nilipata nafasi ya kuhamia Uingereza."

" Sijui nini kingetokea kama ningebaki , naishi kwa sasa , siishi kwa zamani."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE