80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

MANARA AMFANANISHA SHIZA KICHUYA NA MESSI (LA PULGA)

Nyota wa Simba Sc, Shiza Ramadhan Kichuya aliyeonesha ubora wake jana katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo ametajwa kuwa ni Messi wa Tanzania.

Kichuya alifanikiwa kufunga goli la pili na kutoa pasi ya goli la Kwanza katika ushindi wa goli 2-0 kwenye uwanja wa Taifa Jijni Dar es salaam.

Baada ya mchezo huo kuisha Afisa Habari wa Simba Haji Manara alielezea kwa ufupi sana akisema ni dhambi kumfananisha Kichuya na La Pulga (Lionel Messi) lakini kibongo bongo Kichuya ni Messi wa Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara aliandika hivi:

"Sitaki kumfananisha na La Pulga..kwangu ni dhambi kuu isiyohitaji msamaha hata wa Shetani..ila kwa vwango vya kibongo bongo huyu ndio La Pulga wetu..kitu kinachowafananisha ni kufunga na kuassist..halaf anafunga ktk game kubwa..nadhani tunaelewana vzuri hapo hususan wale wabishi wabishi..nakuletea kdogo tu goli za Tanzanian la pulga kichuya na miassist yake kama mvua" @kichuya_ 👏👏🙌.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE