80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

LUKA MODRIC KUREJEA EPL

Kocha mkuu wa Manchester United Jose Mourinho alimsajili Luka Modric kutokea Tottehan Hotspurs kwenda Real Madrid mwaka 2012 katika kipindi cha usajili cha majira ya joto na kiungo huyo kukutana na wakati mgumu katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu Hispania LaLiga.

Hata hivyo mtandao wa express.co.ukumeripoti kuwa inawezekana Luka Modricasiendelee kuichezea tena Real Madrid na kuamua kurudi England kuungana na kocha wake wa zamani wa Real Madrid Jose Mourinho ambaye kwa sasa anaifundisha Man United.

Pamoja na kuwa mtandao wa Don Balon wa Hispania umeripoti na kuipa nafasi Man Unitedya kumsajili Modric mwisho wa msimu, vilabu vya Liverpool na Arsenal vinahusishwa kuhitaji saini ya Luka Modric pia.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE