80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

LIVERPOOL SASA KAZI KWA MAGOLIKIPA

Na Yego Sholla

Liverpool wanatarajiwa kukabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Atletico Madrid na Real Madrid juu ya saini ya Golikipa wa AS Roma , Allison Becker .

Atletico nao wameingia kwenye mbio hizo kutokana na hofu ya kumpoteza Jan Oblak majira ya kiangazi ambaye anawindwa na vilabu vya Chelsea pamoja Arsenal.

Chelsea wanamuwinda Oblak kutokana na sintofahamu ya Golikipa Thibaut Courtois ambaye hajasaini mkataba mpya mpaka sasa.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE