80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

LEWANDOWSKI HUYU REAL MADRID

Na Yego Sholla

Real Madrid wameamua kuimarisha safu yao ya ushambuliaji majira ya kiangazi kwa kumnasa Robert Lewandowski, kwa mujibu wa taarifa kutoka AS.

Zinedine Zidane amekubaliana na uhamisho huo na klabu wamekubaliana kimsingi dili hilo na wakala wa Lewandowski, Pini Zahavi.

Real wameamua kuhamia kwa straika wa kimataifa wa Poland baada ya kuona kwamba itakuwa ngumu kumnasa Harry Kane kutoka Spurs na itawachukua muda mrefu wa makubaliano.

Na pia wana wasiwasi kuhusu uharaka wa kuzoea mazingira ya Bernabeu kwa Kane.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE