80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

KUIONA TANZANIA VS DR CONGO VIINGILIO VYAWEKWA WAZI

Baada ya kuchapwa mabao 4-1 na Algeria, Timu ya Tanzania "Taifa Stars" itashuka dimbani Jumanne ya March 27 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa kujaribu kuwafuta machozi watanzania itakapoikabili DR Congo kwenye mchezo mwingine wa kirafiki ulio kwenye kalenda ya FIFA.

Bila ya kujali matokeo dhidi ya Algeria, Shirikisho la soka nchini TFF limefanya uamuzi sahihi wa kuitafutia Stars timu zilizo juu zaidi kwenye viwango vya FIFA.

Wadau wa soka nchini wamekuwa wakiilaumu TFF kwa kuitafutia Stars michezo ya kirafiki na timu za Taifa ambazo tuko nazo viwango sawa au kuwazidi.

Algeria na DR Congo ni vipimo sahihi kwa Stars kujitathmini kuelekea kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki AFCON 2019.

Kuelekea kwenye mchezo huo Shirikisho la soka hapa chini TFF limeweka wazi viingilio vya mchezo utakaopigwa saa 16:00 jioni siku hiyo ya Jumanne, kuwa kwa VIP A,B na C itakuwa bei cheee Tsh, 5,000/= tu na mzunguko itakuwa sawa na bureeee Tsh,1,000/=.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE