80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

KUIONA TAIFA STARS VS CONGO NI BUKU TANO TU

Na Yego ShollaViingilio vya mchezo wa kirafiki kati ya Taifa Stars dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vimetajwa rasmi.

Mchezo huo ambao ni kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, utafanyika jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa, Machi 27 2018.

Viingilio hivyo ni Tshs 5000 kwa VIP A, B na C, huku Mzunguko ikiwa ni Tshs 1000 tu.

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linawaomba Watanzania wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Taifa siku hiyo ili kuipa hamasa Taifa Stars.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE