80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

KOCHA DRC CONGO ATAJA SABABU YA KUCHAGUA KUCHEZA NA TANZANIA

Yakiwa yamebaki masaa  kadhaa ili tuweze kushuhudia mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' dhidi ya Congo DRC, mchezo ambayo utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia majira ya saa 16:00 jioni.

Mchezo huu kati ya Tanzania na Congo ni mchezo ambao upo katika kalenda ya FIFA, hivyo kwa timu zote mbili huu ni mchezo muhimu ambao utaweza kuwasogeza katika viwango vya FIFA kama mmoja kati yao atapata matoke cha mazuri

Katika viwango vya FIFA DRC Congo wapo nafasi ya 39 huku Tanzania ikiwa nafasi ya 146.

Kuelekea kwenye mchezo huo jana makocha wote waliongea na waandishi wa habari ndipo kocha wa Congo Ibenge akaweka wazi sababu za kuchagua kucheza na Tanzania.

Ibenga alisema kuchagua kucheza na Tanzania ni kutokana na kuni ni timu nzuri pia ni majira zetu hivyo hatukuona sababu za kwenda kucheza na mataifa ya mbali.

Mchezo huu utakujia moja kwa moja hapa hapa nijuzehabari.co.tz ifikapo saa 16:00 jioni, pia usisahau kupitia vikosi vya mchezl huo mara baada ya kutoka.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE