80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

KIPORO CHA MTIBWA SUGAR VS YANGA KUPIGWA TAREHE HII

Baada ya kuahirishwa kutokana na maandalizi ya kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga umepangiwa tarehe.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya TFF, Boniface Wambura hapo jana, amesema mchezo huo utachezwa Mei 9 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro.

Mchezo huo uliahirishwa ili kuipa nafasi Yanga kufanya maandalizi ya kucheza na Township Rollers FC kwenye CAF Champions League.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE