80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

KAULI YA NYIKA BAADA YA TETESI ZA USAJILI WA MUDATHIR YAHYA

Wakati klabu ya Yanga ikiwa kwenye maandalizi ya kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United FC, taarifa za chini ya kapeti zinaeleza uongozi wa timu hiyo unataka kumsajili Mudathir Yahaya.

Yahaya anaichezea Singida United akitokea Azam FC kwa mkopo ambayo leo imetangaza kuwa mkataba wake umemalizika rasmi na yupo huru kwenda popote.

Kupitia kipindi cha michezo cha Radio One, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Hussein Nyika, amesema wao kama klabu hawajazungumza na mchezaji huyo.

"Sisi hatujazungumza na Yahaya, akili yetu inafikiria mchezo ujao wa FA dhidi ya Singida United" alisema.

Aidha Nyika ameeleza kuwa yeye hana majukumu ya kusajili mchezaji bila Kocha kuamua kuamua, na endapo kama itatokea anahitajika, atatimiza majukumu yake.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE