80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

KAULI YA AZAM BAADA YA RAZACK KUSIMAMISHWA NA TPBL

Klabu ya Azam Fc imelalamikia kitendo cha Kamati ya Bodi ya Ligi ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi kumsimamisha kipa wao, Razak Abalora hadi suala lake litakapotolewa uamuzi na Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Azam imesema jambo hilo linatia ukakasi kwani kabla ya hukumu hiyo tayari Abalora ameshacheza zaidi ya michezo minne jambo ambalo linazidi kutia doa vyombo vya maamuzi ndani ya Shirikisho hilo.

"Uamuzi aina hii haupo kabisa kwenye soka la kisasa kwa vyombo vya uendeshaji wa ligi, mara kwa mara tumeshuhudia katika ligi za wenzetu wakichukua hatua kwa haraka ndani ya siku kadhaa kwa wachezaji wanaofanya vitendo vya utovu wa nidhamu," taarifa ya klabu hiyo imesema.

"Azam FC inaheshimu uwepo wa vyombo hivi, lakini tunachoomba ni lazima vifanye kazi yao kwa uharaka ili kuondoa viulizo kwenye maamuzi wanayochukua baada ya muda mrefu kupita tena taarifa nyingine zikitumwa usiku siku moja kabla kuelekea mchezo husika wa klabu," imesema.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE