80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JUUKO ATUPIA 1 UGANDA IKISHINDA DHIDI YA SAO TOME & PICHAAA

Timu ya taifa ya Uganda, ' Uganda The Cranes' jana Jumamosi ya March 24-2018, ilifanikiwa kuibuka na ushidi wa magoli 3-1 dhidi ya Sao Tome and Principle katika Uwanja wa Namboole Stadium nchini humo.
Mchezo huo ulikuwa wa kwanza kwa Kocha mkuu wa 'The Cranes' Sebastiane Desabre, ambapo aliweza kuwaongoza vijana wake kupata ushindi huo.
Magoli ya Uganda yalifungwa na beki anayechezea Simba Sc ya Tanzania Juuko Murushid dakika ya 45+3, Joseph Ochaya dakika ya 21, na Abraham Ndugwa dakika ya 84.
Bao pekee la kufutia machozi la Sao Tome lilifungwa na Jose Varaela kwenye dakika za jioni kabosa, dakika ya 90+1.
Pichani ni kikosi cha Uganda kilichoanza jana huku wachezaji Emmanuel Okwi na Juuko Murshid wakifanikiwa kupata nafasi ya kuanza katika mchezo huo.
Kikosi Cha Uganda Cranes Kilichoanza Dhidi Ya  Sao Tome & Principe  Kilikuwa Hivi.
1:Denis Onyango
2:Nico Wakiro
3:Wadada Godfrey Walusimbi
4:Murushid Juuko
5:Bevis Mugabi
6:Hassan Wasswa
7:Mawanda Milton Karisa
8:Geoffrey Kizito
9:Emmanuel Okwi
10:Luwaga Kizito
11:Joseph Ochaya

Kikosi Cha Akiba Kilikuwa Hivi.
1:Salim Jamal Magoola
2:Charles Lukwago
3:Isaac Isinde
4:Timothy Awanyi
5:Iguma Denis
6:Alex Kakuba
7:Braham Ndugwa
Tadeo Lwanga
8:Fahad Bayo
Hood Kawesa
9:Yunus Sentamu
10:Derrick Nsibambi

Benchi La Ufundi
1:Sebastian Desabre (Head Coach)
2:Matia Lule (Assistant Head Coach)
3:Gerome D'antonio (Fitness Trainer)
4:Sadiq Wassa (Goalkeeper Coach)
No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE