80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JUSTIN KLUIVERT:NAKWENDA BARCELONA

Na Yego Sholla

Justin Kluivert anataka kufuata nyayo za Baba yake Patrick kucheza klabu ya Barcelona , na kuelezea uhamisho huo " Ni ndoto yake "

Winga huyo ambaye ameibukia katika shule ya soka ya Ajax na kucheza mechi yake ya kwanza ndani ya Ajax akiwa na umri wa miaka 17 - kama Baba yake - Januari 2017  - amefanikiwa kufunga magoli 10 katika mechi 28.

Kluivert ameripotiwa kuwindwa na baadhi ya vilabu vya ligi kuu ya Uingereza, Manchester United ikiwemo , licha ya kwamba amekiri kwamba hana tatizo na kucheza klabu nyingine yoyote lakini chaguo lake la kwanza ni kucheza Barcelona.

" Klabu yangu ya ndotoni ? Barcelona . Hiyo ndio klabu yangu ya ndotoni."

" Kufuata nyayo za Baba yangu ? Ndio. Lakini mwisho wa siku hiyo ni ndoto yangu tu. Sitokuwa na tatizo kuhamia klabu nyingine, lakini Barcelona ni ndoto yangu."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE