80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JUMAPILI HII NI CHELSEA NA TOTTENHAM HOTSPUR

Na Yego Sholla

Cesar Azpilicueta na Dele Alli wamekosekana katika 'Kombaini " ya vikosi vya Chelsea na Tottenham ambacho kimeandaliwa na mchambuzi wa Sky sports, Matt Le Tissier.

Pia amemuondoa Golini , Golikipa wa Spurs Hugo Lloris na kuchagua kwenda na Golikipa wa Chelsea, Thibaut Courtois.

Na hiki ndio kikosi cha kwanza cha 'Kombaini' ya Chelsea na Spurs ambao wana- London hao wanatarajiwa kukabiliana siku ya jumapili katika mtanange muhimu wa kuwania nafasi nne za juu za Ligi.

Vipi mtazamo wako wewe ? kipo sahihi ? au nani atoke nani aingie ?

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE