80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JORGINHO :NATAMANI SANA KUCHEZA EPL

Na Yego Sholla

Kiungo wa Napoli na Timu ya Taifa ya Italia Jorginho amesema kwamba anapenda kuhamia Ligi Kuu ya Soka ya Uingereza.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa akihusishwa na vilabu vya Arsenal, Liverpool na vilabu viwili vya jiji la Manchester katika siku kadhaa zilizopita.

Na alipoulizwa na Football Italia  kama anapapenda Uingereza alisema:

" Ndio , tena sana."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE