80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JORGEN KLOPP LIVERPOOL KUTWAA TAJI LA UEFA

Na Yego Sholla

Jurgen Klopp ametengeneza kikosi cha Liverpool chenye uwezo wa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya , kwa mujibu wa Gwiji wa Ujerumani, Lothar Matthaus.

Liverpool wamepangwa dhidi ya vinara wa Ligi kuu ya Uingereza , Manchester City katika hatua ya robo fainali ya UEFA baada ya kuiondoa FC Porto kwa jumla ya magoli 5-0 kwenye hatua ya 16 bora.

Matthaus, ambaye zamani aliwahi kukipiga katika klabu  ya Bayern Munich , anaamini kwamba kikosi cha Klopp kimeboresha safu ya ulinzi  msimu huu na wana uwezo wa kutwaa UEFA msimu huu tangu mara ya mwisho kutwaa mwaka 2005.

" Liverpool hawaogopi kucheza dhidi ya Manchester City , walionyesha wiki kadhaa zilizopita jinsi gani ya kushinda dhidi ya City."

" Wana safu nzuri ya Ulinzi, wana fanya kazi vizuri kwenye ulinzi na hii ni ufunguo muhimu kwenye kutwaa mataji."

" Amefanya kazi nzuri sana. Nilikuwa naamini tangu awali kwamba yeye na Liverpool wana mahusiano mazuri."

" Unaweza kuona hiyo katika matokeo mazuri , mechi nzuri na amenunua wachezaji sahihi . Kwangu mimi timu ambayo inaweza kutwaa taji la UEFA miezi miwili ijayo ndani ya Kiev"

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE