80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JOHN STONE NINA KHALI NGUMU KATIKA KLABU YANGU YA MANCHESTER CITY

Na Yego Sholla

John Stones amesema kwamba hali yake ya sasa ndani ya kikosi cha Manchester City ni " Ngumu " ambapo beki huyo wa kimataifa wa Uingereza ameanza mechi mbili kati ya tisa za Man City.

Pep Guardiola katika wiki kadhaa zilizopita amekuwa akitumia muunganiko wa  Vincent Kompany na Nicolas Otamendi katika safu ya ulinzi na kumuacha Stones kwenye benchi.

Stones mwenye umri wa miaka 23 alikuwa chaguo la kwanza katika miezi ya awali ya msimu huu lakini sasa amekuwa akikosa nafasi tangu alipoumia misuli ya nyuma ya paja mwezi Novemba mwaka jana.

Akiongea kuhusu kupoteza nafasi yake katika kikosi cha Etihad, Stones amesema:

" Ni ngumu, kila mchezaji anataka kucheza wiki hadi wiki ."

" Lakini nimekuwa nikipata mechi hapa na pale, nimekuwa nikipigana na hilo ndio unaweza kufanya, Fanya sana mazoezi, jitume na pindi nafasi yako ikija inabidi uichukue na hicho ndio nilichokifanya."

" Nimekuwa nikiungwa mkono na wachezaji wenzangu pamoja na kocha wangu . Ni moja ya nyakati ambazo timu inakuwa inashinda mechi na inacheza vizuri. Huwezi kurejea kikosini kirahisi kama hivyo."

" Bado najifunza hata nikiwa benchi , hiko ni kitu kikubwa sana , ni ngumu lakini tayari nina medali yangu ya kwanza ( Taji la Carabao ) kwahiyo siwezi kulalamika."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE