80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

JOHN BOCCO, EMANUEL OKWI KUWAKABILI EL MASRY

Washambuliaji Emmanuel Okwi na John Bocco wa timu ya Simba wamepona majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua na wapo tayari kucheza dhidi ya Al Masry siku ya Jumatano.
Simba itaikaribisha Al Masry katika mchezo wa hatua ya kwanza ya kombe la Shirikisho barani Afrika utakaofanyika katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Nahodha Bocco aliumia katika mchezo wa ligi dhidi ya Mwadui FC wakati Okwi alipata majeraha kwenye mechi ya dhidi ya Mbao Fc
Msemaji wa klabu hiyo, Hajji Manara amesema wachezaji hao wamerejea kikosini na wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo ambao Simba wanahitaji matokeo ya ushindi ili kujiweka vizuri kwenye mechi ya marudiano.
“Washambuliaji wetu Bocco na Okwi wapo fiti na wameingia kambini na wenzao na tunategemea watakuwa sehemu ya mchezo wetu dhidi ya Al Masry,” alisema Manara.
Nyota hao walikosekana katika mchezo wa jana wa ligi ambao Simba ililazimishwa sare ya mabao 3-3 na Stand United.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE