80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

ISCO :AMPA MAKAVU ZIDANE

Kuu Na Yego Sholla

Isco amesema alijiskia ' mzima ' baada ya kufunga ' Hat trick ' yake ya kwanza na kuisaidia Hispania kuitungua Argentina 6-1 mechi ya kimataifa ya Kirafiki jana usiku na kumkosoa kocha wake wa Real Madrid Zinedine Zidane.

Kiungo huyo mchezeshaji amejikuta akiwa na wakati mguu wa kupata nafasi ya kucheza msimu huu chini ya Zidane.

Hata hivyo alionyesha kiwango cha juu sana kwenye mechi dhidi ya Argentina katika dimba la  Wanda Metropolitano

" Ndani ya Madrid sipewi  hali ya kujiamini ambayo mchezaji anahitaji ."

" Mechi za timu ya Taifa zinanipa maisha . Hapa napata hali ya kuaminiwa na kocha."

" Nataka kuonyesha mimi ni mchezaji mzuri . Lopetegui  ananionyesha imani kubwa na dakika anazonipa za kucheza."

" Labda mimi ni tatizo Madrid . Sijui ni jinsi gani naweza kutwaa imani ya Zidane ."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE