80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HUYU NDIYE MBADALA WA RASHFORD ENDAPO ATAONDOKA UNITED

Na Yego Sholla

Taarifa  kutoka Daily Mirror limearifu  manchester United imeandaa kiasi cha pound million 40 (£40m) kwa winga wa Buyern Munich Douglas Costa ambaye atachukua nafasi ya Marcus rashford.

Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika vimeripoti kuwa kinda huyo anayefanya vizuri pale United anakwenda Real Madrid msimu huu wa majira ya joto.

Naye kocha mkuu wa United ameona sio shida nafasi yake itacbukuliwa na Douglas Costa ambaye yupo kwa mkopo Juventus, akitokea Buyern Munich.


No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE