80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HIZI HAPA TETESI MBALIMBALI ZA USAJILI ZILIZOVUMA KUTOKA KATIKA MAGAZETI YA BARANI ULAYA LEO ALHAMISINa Yego Sholla

Hizi hapa tetesi mbalimbali za Usajili zilizovuma kutoka Katika Magazeti ya Ulaya Alhamisi ya Leo.

Klabu ya Manchester United inampango wa Kumsajili Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, Mreno huyo Imeripotiwa kuwa hana Mahusiano mazuri na raisi wa klabu yake Florentino Perez.
Arsenal na Liverpool zinahusishwa vikali kumuhitaji Kiungo wa Hoffenheim Kerem Demirbay ambae anatajwa kuuzwa kwa £20M. 

Manchester City Wanataka kumpa Mkataba Mpya winga wao Raheem Sterling kabla ya Mwisho wa Msimu, Hii imetokana na muingereza huyuo kuwa katika kiwango bora kwa Sasa Magoli 20 na pasi 11 za magoli katika Mashindano yote. 

Arsenal inahusishwa kutaka Kumsajili beki wa kati wa Freiburg Caglar Soyuncu,Mturuki huyo ni miongoni mwa mabeki bora ndani ya Bundesliga na being yake inakadiliwa kufikia £30M. 

Manchester United Inahusishwa kutaka Kumsajili kiungo wa Bayern Munich Arturo Vidal na wameandaa dau la $60 ili Kumsajili na itakutana na Upinzani kutoka Chelsea inamtaka Mchile huyo. 

Tottenham inahusishwa kutaka Kumsajili Kiungo wa Sporting Lisbon ya Ureno Bruno Fernandez. 

Imeripotiwa kuwa Everton ipo katika Nafasi nzuri ya kuweza Kumsajili Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere ambaye bado hajakubali kusaini Mkataba Mpya ndani ya Washika bunduki hao wa London. 

Juventus inahusishwa kutaka Kumsajili Mshambuliaji kinda wa Vasco da Gama ya Brazil Paulinho. 

Chelsea Imekamilisha Usajili wa Mshambuliaji kinda wa Uholanzi Jayden Braaf 15,Mshambuliaji huyo anaetajwa kuja kuwa na kiwango siku za usoni pia Alitakiwa na Barcelona, Manchester United,Bayern Munich, Manchester City, Ajax na PSV. 

Real Madrid itamgeukia kipa wa AC Milan Gianluigi Donnaruma ikiwa itafeli Kumsajili David De Gea kutoka Manchester United. 

Atletico Madrid Imeanza Mazungumzo na Beki wao Lucas Hernandez kuhusu kuongeza Mkataba Mpya Klabuni hapo.
Ajax inahofia kuwa Barcelona itakuja na ofa ya kumtaka beki wao Matthjs De ligt na Itakuwa ngumu kugoma ofa hiyo.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE