80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HIVI NDIVYO HARUNA NIYONZIMA ALIVYO REJEA MSIMBAZI KWA MKWARA MZITO

Na Yego Sholla

Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima amerudi katika kikosi cha Simba SC baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha. Niyonzima alikwenda india kwa ajili ya matibabu ambapo ilielezwa angefanyiwa upasuaji mdogo lakini jambo zuri ni kwamba alitibiwa bila kufanyiwa upasuaji.

Niyonzima anaamini baada ya muda mfupi atarudi uwanjani baada ya kumaliza ratiba ya mwalimu.

Siwezi kuja mazoezini kabla sijawa vizuri, lakini siwezi kusema nipo vizuri kwa 100% watu wanachotakiwa kujua, mtu ukitoka kwenye maumivu huwezi kuja kujiunga na timu moja kwa moja lakini ninachoshukuru naona kama napiga hatua kwa sababu siku za nyuma nilikuwa nyumbani lakini sasa nimeanza kuungana na timu.”

“Kwa sasa najisikia nafuu na nimeanza kupewa ratiba na mwalimu naamini mambo yatakuwa mazuri. Kuna kupona kwa aina mbili kuna ya daktari na mwalimu, ya daktari tayari nimeshafanya sasa hivi nafanya ya mwalimu kwa hiyo ikiisha najiunga na timu.”

“Natamani kucheza kwa sababu muda mrefu sijacheza na watu wanajua mpira ni kazi yangu lakini siwezi kuchukua uamuzi nikasema nacheza, natakiwa kwenda na ratiba ya timu, daktari na mwalimu lakini sasa hivi nipo kwenye ratiba ya mwalimu, muda si mrefu nitarudi uwanjani.”

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE