80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HIKI HAPA KIKOSI CHA TANZANIA DHIDI YA ALGERIA MARCH 22-2018

Kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Salumu Mayanga na benchi zima la ufundi kwa kauli moja wameamua kuwaanzisha Nahodha Mbwana Ally Samatta, Simon Msuva Shiza Kichuya katika eneo la ushambuliaji kwenye mechi ya Kirafiki dhidi ya Algeria.

Aidha mshambuliaji wa BDF XI ya Botswana Rashid Mandawa amepangwa kuanzia benchi sawa na kinda Yahya Zayd pamoja na Shaban Idd Chilunda.

Kinachoanza: Aishi Manula, Shomari Kapombe, Gadiel Mbaga, Abdi Banda, Kelvin Yondani, Himid Mao, Mudathir Yahya, Said Ndemla, Mbwana Samatta, Saimon Msuva na Shiza Kichuya.

Akiba: Ramadhan Kabwili, Mohamed Abdulrahman, Hassan Kessy, Erasto Nyoni, Abdullaziz Makame, Mohamed Issa, Ibrahim Ajib, Feisal Salum, Yahya Zayd, Shaban Idd Chilunda na Rashind Mandawa.

Mchezo huo wa kirafiki ambao upo katika kalenda ya Shirikisho la Soka Ulimwengu (FIFA) utafanyika saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki, na utakuwa live ZBC 2.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE