Breaking

USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE

Tuesday, March 13, 2018

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KINACHOSAFIRI KWENDA MISRY (KOMBE LA SHIRIKISHO)

JIUNGE NA NIJUZEHABARI.CO.TZ SASA!


Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FACEBOOK, TWITTER na INSTAGRAM ili kupata habari zote za Michezo na Usajili! Usikose Kudownload APP yetu ya NIJUZEHABARI BOFYA HAPA

 Timu ya Simba Sc itaondoka Alfajiri ya kesho March 14-2018 kwa Ndege ya Ethiopia Airlines, kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo ma marudiano katika mechi ya kombe la Shirikisho.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi ya March 17 mwaka huu Mjini Cairo majira ya saa 20:30 usiku.

Katika mchezo wa awali uliyopigwa Mjini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita, timu hizi mbili zilitoka sare ya kufungana mabao 2-2, huku magoli 3 yakipatikana kwa njia ya mikwaju ya penalti.

Katika mchezo huo Simba inahitaji ushindi wowote au sare ya magoli 3-3 ili kusonga mbele katika hatua ya makundi.

Kikosi kamili kinachosafiri kwenda Misri ni
1.Aishi Salum Manula
2.Said Mohamed'Nduda'
3.Yusufu Mlipili
4.Juuko Murushid
5.Shomari Salum Kapombe
6.Said Hamisi Ndemla
7.Mohamed Hussein JR
8.Asante Kwasi
9.Erasto Edwars Nyoni
10.Mzamiru Yassin
11.Jonas Gerald Mkude
12.John Raphael Bocco
13.Paul Bukaba
14.Mwinyi Kazimoto
15.Shiza Ramadhan Kichuya
16.Nicholas Gyan
17.Laudit Mavugo
18.James Kotei
19.Emanuel Anord Okwi
20.Juma Luizio 'Ndanda'

Viongozi wanaosafiri
1.Pierre lichantre
2.Masoud Djuma
3.Muharam Mohammed
4.Mohammed Aymen
5.Dr Yassin Gembe
6.Richard Robert (Team Manager)
7. Yassin Mtambo (Kit Manager)

Mkuu wa Msafara ni Kaimu Rais wa Simba Dr Salim Abdallah

No comments:

Post a Comment