80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HII NI HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WA LIVERPOOL JOE GOMEZ AUMIA KIFUNDO CHA MGUU KATIKA TIMU YA TAIFA

Na Yego Sholla

Joe Gomez amerejea Liverpool kufanyiwa uchunguzi zaidi kuhusu jeraha la kifundo cha mguu alilolipata katika mechi ya kirafiki ya Uingereza dhidi ya Uholanzi siku ya Ijumaa usiku.

Beki huyo wa Liverpool nafasi yake ilichukuliwa na Harry Maguire ndani ya dakika 10 tu za kipindi cha kwanza baada ya kuanguka chini vibaya akiwa anagombani mpira wa juu.

Uingereza hawana mpango wa kuita mchezaji mwingine kuziba nafasi yake kuelekea mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Italia katika dimba la Wembley siku ya Jumanne.

Taarifa kutoka Uingereza inasema:

" Joe Gomez ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza na amerejea Liverpool kwa uchunguzi zaidi kutoka kwa jopo la Madaktari wa Liverpool."

" Hiyo imekuja baada ya kuumia kifundo cha mguu katika mechi ya ushindi wa 1-0 wa Uingereza dhidi ya Uholanzi siku ya Ijumaa."

" Hakuna mpango wowote katika hatua hii kuita mbadala wake kuelekea mechi ya Jumanne dhidi ya Italia dimba la Wembley."

Liverpool wamesema kwamba ukubwa wa jeraha hilo utafanyiwa uchunguzi na jopo la madaktari wa Liverpool .

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE