80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HII NDIO SABABU YA IBRAHIMOVIC KUONDOKA UNITED

Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden Zlatan Ibrahimovic kutangaza kuihama Man United na kujiunga na club ya LA Galaxy ya Marekani, wengi wanaamini kuwa Zlatan ameondoka United baada ya kuwa na majeraha.

Ukweli umetolewa
na Dr  Freddie Fu Ho-Kueng aliyekuwa anamtibia Zlatan Ibrahimovic kuwa Zlatan ameondoka United kufuatia Manchester United kutolewa katika michuano na UEFA Champions League.

Ikumbukwe kuwa Zlatan  hajawahi kutwaa taji hilo licha ya kuvichezea vilabu vya Barcelona, Inter Milan na AC Milan, katika mashindano hayo.

Zlatan alianza kupoteza namba pale Old Trafford baada ya kupata jeraha la goti katika msimu wa 2016/2017.

 Zlatan baada ya kuongeza mkataba  na kurudi mwezi November alimudu kuichezea Man United katika mechi tano tu za Ligi hivyo wakaamua kuvunja mkataba na Man United kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Dr Freddie Fu Ho-Kueng ameeleza kuwa Zlatan Ibrahimovic alikuwa na ndoto ya kutwaa taji la UEFA Champions League akiwa na Man United na kutimiza ndoto yake ya kutwaa taji hilo ambalo amekuwa akilikosa kwa muda mrefu, hivyo baada ya Man United kutolewa ndio akaamua kwenda kucheza Marekani.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE