80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HII HUTOKEA ULAYA TU TANZANIA TUSUBIRI KWANZA :LEWIS COOK AMESHINDA PAUNI 17,000 KWA UBASHIRI HUU

Na Yego Sholla

Babu wa kiungo wa Bournemouth, Lewis Cook imeshinda Pauni 17,000 sawa na Shilingi za Kitanzania Milioni 53,822,000 baada ya mjukuu wake kucheza mechi yake ya kwanza ya timu ya taifa ya Uingereza , mechi ya sare ya 1-1 dhidi ya Italia.

Miaka minne iliyopita Trevor Burlingham aliweka ubashiri wa Euro 570  ( Mil. 1,580,610 ) kwamba mjukuu wake Cook atacheza mechi yake ya kwanza ya kikosi cha wakubwa cha Uingereza kabla ya kutimiza miaka 26.

Cook mwenye umri wa miaka 21 alichukua nafasi ya Jesse Lingard  dakika ya 71  na Muendesha Ubashiri William Hill wanatarajia kumpa Burlingham zawadi yake.

Licha ya kwamba aliitwa kikosi cha timu ya taifa mwezi novemba mwaka jana baada ya kukiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza chini ya miaka 20 kutwaa kombe la Dunia akiwa nahodha , kiungo huyo hakupata nafasi ya kucheza .

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE