80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HII HAPA RATIBA KAMILI YA SIMBA SC MICHEZO 10 IILIYOBAKI MSIMU HUU

HII HAPA RATIBA KAMILI YA SIMBA SC MICHEZO 10 IILIYOBAKI MSIMU HUU

1:April 03-2018, Njombe Mji itaikaribisha Simba Sc saa 16:00 kwenye uwanja wa Sabasaba-Njombe

2:April 09-2018, Mtibwa Sugar wataikaribisha Simba Sc saa 16:00 kwenye uwanja wa Jamhuri-Morogoro

3:April 12-2018, Simba Sc wataikaribisha Mbeya City saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam

4:April 16-2018, Simba Sc wataikaribisha Tanzania Prisons saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam

5:April 20-2018, Lipuli Fc wataikaribisba Simba Sc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Samora-Iringa

6:April 29-2018, Simba Sc wataikaribisha Young Africans saa 16:00 kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam

7:May 06-2018, Simba Sc wataikaribisha Ndanda Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam

8:May 13-2018, Singida United wataikaribisha Simba Sc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Namfua-Singida

9:May 19-2018, Simba Sc wataikaribisha Kagera Sugar saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Uhuru-Dar es salaam

10:May 26-2018, Mechi ya kufunga msimu wa 2017-2018 kwa Simba Sc, itakuwa kati ya Majimaji Fc dhidi ya Simba Sc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Majimaji-Ruvuma. >>>>BOFYA HAPA KUSOMA HABARI ZOTE ZINAZOHUSU SIMBA SC<<<<

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE