80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HAJI MANARA HARUNA NIYONZIMA TIYARI AMEISHAWASILI TANZANIA

Kiungo wa klabu ya Simba SC, Haruna Niyonzima amewasili ncgini akitokea India likokwenda kutibiwa, kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba SC Haji Manara amethibitisha kuwa Nyonzima amerudi nchini.


Haruna Niyonzima anarejea Tanzania ikiwa ni wiki kadhaa zimepita toka akosekane uwanjani, kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuhitaji kufanyiwa upasuaji baada ya mfupa wa mguu wake kugundulika kuwa ulikuwa na ufa wa muda mrefu.


Niyonzima amerudi Tanzania akitokea India bila kufanyiwa upasuaji mdogo kama ilivyokuwa imeripotiwa awali, baada ya madaktari India kumpatia tiba mbadala iliyotatua tatizo lake na kumfanya arudi katika hali yake ya kawaida pasipo kuhitaji kufanyiwa upasuaji.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE