80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HABARI NJEMA KUHUSU BEKI WA SIMBA SC SALIM MBONDE

Hivi karibuni beki wa Simba Sc aliyetua Simba kutokea Mtibwa Sugar, Salim Mbonde alipata ajali ya pikipiki iliyomsababishia majeraha juu ya jicho na kushonwa nyuzi tatu.

Ajali hiyo ilisababisha beki huyo aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar aondolewe kwenye kikosi cha Simba kilichosafiri kwenda nchini Misri.

Taarifa za uhakika ni kwamba beki huyo ameondolewa nyuzi alizoshonwa na sasa yuko tayari kurejea mazoezi ya kikosi cha Simba kuanzia Jumatatu ijayo.

Alipotafutwa Salim Mbonde alisema kuwa Kwa sasa yuko fiti, na anataarajia kuungana na kikosi cha wenzake hapo Jumatatu ya wiki ijayo kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaofuata dhidi ya dhidi ya Njombe.

Simba inatarajiwa kuivaa Njombe Mji April 03 mwaka huu, katika mchezo ambao ni kiporo baada ya Simba kushiriki michuano ya kimataifa kabla ya kutolewa na Al Masry ya nchini Misri.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE