80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WA CHELSEA THIBAUT COURTOIS YAMKUTA HAYA

Na Yego Sholla


Klabu  ya soka ya Chelsea kuelekea mchezo wake wa ligi kuu ya England dhidi ya Tottenham, huenda ikamkosa mlinda mlango wake namba moja Thibaut Courtois baada ya kuumia akiwa na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Msomaji wa www.nijuzehabari.co.tz Mchezaji huyo amelazimika kuondolewa kwenye kikosi cha Ubelgiji kitakachokabiliana na Saudi Arabia siku ya Jumanne Machi 27 kwenye mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA kwa mwezi Machi.


Kabla ya Courtois kuumia kocha wa Chelsea Antonio Conte hivi karibuni alithibitisha kuwa nyota huyo anasumbuliwa na misuli, tatizo ambalo lilianza baada ya mchezo wa robo fainali ya kombe la FA.

Nafasi ya Coutois kwenye mchezo huo inatarajiwa kuzibwa na Simon Mignolet wa Liverpool au Koo Casteels na Matz Sels ambao ndio chaguo jingine ndani ya kikosi hicho cha kocha Roberto Martinez.

Chelsea itakuwa nyumbani kucheza na Tottenham Jumapili ijayo. Chelsea tayari inashika nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na 56 huku Tottenham wakiwa katika nafasi ya 4 wakiwa na alama 61.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE