80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

GERMANY VS SPAIN FULL TIME

Na Yego Sholla


Goli la mapema kutoka kwa straika wa Valencia, Rodrigo Moreno liliipa Hispania uongozi kabla ya mjuzi wa kufumani nyavu wa Ujerumani, Thomas Muller kusawazisha kwa mkwaju mkali.


Ni mechi iliyokuwa na ufundi wa kutosha sana huku safu zote za ulinzi na kiungo zikionyesha daraja la kipekee.


Ter Stegen na De Gea wamedhihirisha kuwa kati ya magolikipa bora kabisa barani ulaya kwa sasa kwa kiwango walichoonyesha leo.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE