80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

GABRIEL JESUS AGOMEA MKATABA MPYA CITY

Na Yego Sholla

Gabriel Jesus atasubiri mpaka majira ya kiangazi kuzungumza kuhusu mkataba mpya na Manchester City baada ya kukataa ofa ya mkataba mpya .

The Daily Mail limedai kwamba Jesus amekataa mkataba wa Pauni 90,000 huku wawakilishi wake wanaamini kwamba anastahili mshahara wa zaidi Pauni 100,000.

Hata hivyo imearifiwa kwamba  atasaini mkataba wa mwaka mmoja tu ambao utafikia tamati mwaka 2023 jumlisha na mkataba wake wa sasa.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE