Breaking

USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE

Tuesday, March 13, 2018

FRED KUSUKA AU KUNYOA KATIKA JIJI LA MANCHESTER UNITED

JIUNGE NA NIJUZEHABARI.CO.TZ SASA!


Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FACEBOOK, TWITTER na INSTAGRAM ili kupata habari zote za Michezo na Usajili! Usikose Kudownload APP yetu ya NIJUZEHABARI BOFYA HAPA

Na Yego Sholla

Baada ya hapo awali kuwa kwenye vita ya kuwania saini ya Alexis Sanchez, vilabu viwili vya jiji la Manchester vinatarajiwa kupigana tena vikumbo kuwani saini ya Mbrazil , Fred majira ya kiangazi.

Shakhtar Donetsk wamethibitisha kwamba kiungo huyo anayewindwa ,ataelekea katika jiji la Manchester Majira ya kiangazi ambapo City na United watahusika katika vita hiyo.

Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo ya Ukraine, Sergei Palkin, amesema:

" Fred ataondoka mwezi Juni. Kama sio Manchester City basi ni Manchester United."

" Yupo tayari kupambana katika ligi bora. Ukiacha kwamba ni mchezaji mzuri pia Fred ni mchezaji anayejua wajibu wake."

No comments:

Post a Comment