80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

EMRE CAN:SIITAJI MSHAHARA MKUBWA LIVERPOOL NI TAARIFA ZA UONGO

Na Yego Sholla

Emre Can amesema kwamba taarifa zinazodai kwamba ametaka mshahara mkubwa ili kubaki Liverpool ni " Uongo "

Kiungo huyo ambaye ameruhusiwa kuondoka katika kambi ya timu ya taifa ya Ujerumani ili kwenda kuuguza jeraha lake la mgongo katika klabu ya Liverpool, mkataba wake unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu.

Juventus wanajaribu kumsajili kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 lakini kocha Jurgen Klopp ameweka mlango wazi kwa Emre Can kusaini mkataba mpya wa kubaki Anfield.

Taarifa kutoka vyombo vya habari vya nchini Uingereza hapo jana viliripoti kwamba kiungo huyo anahitaji mshahara wa Pauni 200,000 kwa wiki ili kubaki Liverpool na mshahara huo ungemfanya kuwa mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa kuliko wachezaji wote ndani ya Anfield.

Lakini Can kupitia Instagram amesema:

" Taarifa za kustaajabisha kuhusu mimi kwenye vyombo vya habari. Sitosema tena kitu chochote kuhusu taarifa za uongo au uvumi wa uongo ."

" Nimerejea kutoka timu ya taifa ya Ujerumani na kufanya juhudi za kupona jeraha langu . Natamani kurejea uwanjani haraka sana."

Can alijiunga na Liverpool kwa dau la Pauni Milioni 10 kutoka Bayer Leverkusen mwaka 2014 na amecheza mechi 168 na kufunga magoli 14 ndani ya Liverpool.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE