80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

EDEN HAZARD NIPO TIYARI KWA LOLOTE CHELSEA NITACHEZA NAFASI YOYOTE

Na Yego Sholla

Eden Hazard amesema kwamba hana tatizo na kocha wake Antonio Conte kuhusu kumchezesha tofauti na nafasi anayoipenda.

Katika mechi kubwa zilizopita Conte amekuwa akipenda kumtumia Hazard katika nafasi ya " Namba tisa ya Uongo " ( False Number 9 )  tofauti na nafasi anayopenda Hazard ya namba 10 au kutokea kushoto.

Hata hivyo kuelekea mechi muhimu ya Chelsea dhidi ya Tottenham siku ya Jumapili , Nyota huyo wa Ubeligiji amesema kwamba yupo tayari kuitoa mhanga nafasi anayoipenda kwa manufaa ya timu.

" Nataka tu kuwa uwanjani. Namba 9,10 naweza kucheza hata beki wa kushoto kama kocha anataka , hakuna tatizo.Nataka tu kuwa uwanjani na kujaribu kujitoa kwa asilimia zote kama ninavyofanyaga."

" Nina furaha na Chelsea. Nafikiria kuhusu mwisho wa msimu na  kombe la Dunia . Nimebakiza miaka miwili katika mkataba wangu kwahiyo nina furaha."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE