80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

DR CONGO WAWASILI TAYARI KUIKABILI TAIFA STATS

Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo 'The Leopards', imewasili asubuhi ya leo jijini Dar es Salaam Tanzania.

DR Congo wamewasili kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' uliopo kwenye kalenda ya FIFA Jumanne ijayo.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumanne ijayo ya March 27 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wenyeji Tanzania ambao wametoka kupokea kichapo cha magoli 4-1 kutoka kwa wenyeji wa mchezo huo Algeria  waliwasili nchini jana mchana.

Kuelekea kwenye mchezo huo kocha mkuu wa 'Taifa Stars' Salum  Mayanga amesema watatumia makosa ambayo yalionekana katika mchezo huo ili kufanya marekebisho kabla ya kukabiliana na Congo.

"Ni kweli mchezo ulikuwa mgumu kwetu kutokana na ubora wa timu zote mbili, tutatumia makosa ambayo yalionekana kwenye mechi yetu na Algeria kabla hatujakutana na Congo ili tusipoteze tena".

Hata hivyo Mayanga alitoa shukurani kupata mchezo mkubwa kama ya Algeria akieleza kuwa ni kipimo kizuri ukilinganisha ubora wa timu zote mbili zilivyo.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE