80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

DONALD NGOMA MAMBO SAFI YANGA IKIIWINDA SINGIDA UNITED

Wakati mabingwa watetezi ligi kuu Tanzania Bara, Young Africans wakiwa katika maandalizi kuelekea mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Singida United mjini Singida, imeelezwa kuwa hali ya Donald Ngoma inazidi kuimarika.

Kwa mujibu wa Meneja Mkuu wa kikosi cha Yanga, Hafidh Saleh, mchezaji huyo ameanza kuimarika taratibu pia ameshiriki mazoezi ya siku mbili na wenzake.

Ngoma amekuwa akifanya mazoezi yote ambayo yanatolewa na Kocha wa timu hiyo asubuhi na jioni.

Ngoma aliumia September 30 mwaka jana katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, timu hizo zikitoka suruhu.

Yanga imeweka kambi mjini Morogoro katika kujiandaa na mchezo wa ASFC dhidi ya Singida.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Namfua Mjini Singida April Mosi majira ya saa 16:00 jioni.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE