80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

DISMAS TEN :HAJI MANARA BADO SANA AJIANGALIE

Na Yego Sholla


DISMAS TEN AMJIBU MANARA KIAINA

Siku moja baada ya Katibu wa Yanga kutangaza kusitisha uchapishaji wa jarida kwa madai ya kukosa soko Ten nae aja na ujumbe wake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Afisa habari huyo wa Yanga sc ameandika ujumbe unaosema.

     "Maisha hayakosi changmoto unapomcheka mwenzio kwa sababu hajafanikiwa ni vyema ukaonyesha ulichonacho wewe" Dismas Ten

Ujumbe huu ni kama jibu kwa Afisa habari wa klabu ya Simba ambae aliweka status ya kejeli mara baada ya kusikia mpango huo umesitishwa.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE