80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

DISMAS TEN AMJIBU MANARA BAADA YA KUSITISHA JARIDA LA YANGA

Baada ya Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, kunukuliwa akisema kuwa wamesitisha kuuza jarida lao ambalo walilianzisha likiwa ni maalum kwa kutoa habari za klabu hiyo, Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, ametamba kwa kusema kuwa zilikuwa ni mbwembwe tu.

Kupitia kweny ukurasa wake wa Instagram jana, Haji Manara aliandika kuwa Yanga walianza kwa mbwembwe kuuza jarida hilo lakini hawajafika kokote, huku akiwakejeli kuwa wameuza kopi mbili pekee.

Naye Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, Dismas Ten kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram ameweka picha inayoonesha jarida la Yanga huku akiandika kuwa.

"Maisha hayakosi changamoto! Unapomcheka mwenzio kwa sababu hajafanikiwa ni vyema ukaonyesha ulichonacho wewe".

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE