80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

DIEGO MARADONA :AMUKINGIA KIFUA LIONEL MESSI

Na Yego ShollaNguli wa soka nchini Argentina na ulimwenguni kwa ujumla Diego Maradona, amejitokeza na kumtetea Lionel Messi, kwa kusema mchezaji huyo hana haja ya kudhihirisha yeye ni bora katika mashindano ya kombe la dunia yatakayofanyika Urusi mwezi Juni.

Amesema hayo kufuatia kukusolewa na wadau mbalimbali wa soka kwa kushindwa kuisaidia timu ya taifa kwenye michuano mikubwa.

Messi anajipanga kuiongoza Argentina kuchukua ubingwa wa kombe la dunia kwa mara ya kwanza mwaka huu, Mshindi huyo mara tano kwenye tuzo za Ballon d’Or hajawahi kushinda taji lolote kubwa akiwa na timu ya taifa, mwaka 2014 Argentina ilipoteza mchezo wa fainali mbele ya Ugerumani katika mchezo wa fainali za kombe la dunia zilizofanyika nchini Brazil.

‘’Ningependa kumshauri Messi kuendelea kucheza,na kufurahia mchezo” amesema Maradona. ‘’inabidi asahau kuhusu kukosolewa,kama atashinda au hata shinda kombe la dunia haitaji kuthibitisha chochote ,inabidi afurahie mchezo ndani ya uwanja’’ ameongeza Maradona.

Aidha,Messi ameisadia Argentina kufuzu fainali hizo za kombe la dunia zitakazo fanyika nchini Urusi kwa kufunga mabao matano yakiwemo mabao matatu aliyo yafunga katika mchezo dhidi ya Ecuador.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE