80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

DIEGO COSTA:WAMSHUKURU MUNGU WA ARGENTINA KUWA NA MESSI

Na Yego Sholla

Diego Costa anaamini kwamba ushindi wa Hispania wa 6-1 dhidi ya Argentina umeonyesha kwamba ni jinsi gani Lionel Messi alivyokuwa na thamani kubwa katika taifa lake.

Magoli kutoka Costa, Thiago Alcantara, Iago Aspas na  hat-trick kutoka kwa   Isco yalitosha kuipa ushindi La Roja dhidi ya wapinzani wao ambao walimkosa nyota wao Lionel Messi aliyekuwa na majeraha.

Ambapo kuna nyakati ambazo Messi huwa anakosolewa kutokana na kiwango chake ndani ya timu ya taifa , Straika wa Atletico Madrid, Diego Costa anaamini kwamba kwa uhalisia Messi huwa analeta tofauti kubwa sana ndani ya Argentina.

" Inabidi ufanye uchambuzi katika maeneo yote . Waargentina wanamkosoa sana Messi , lakini unaweza kuona kwamba pindi Messi anapokosekana , wanakuwa sio sawa."

" Mchezaji kama Messi hatakiwa kukosolewa. Inabidi mshukuru Mungu kwamba yupo kwenu."

" Messi siku zote lazima athaminiwe. Hata kama akicheza mechi moja vibaya na timu ya taifa , ukiwa naye uwanjani tu pekee analeta tofauti."

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE