Breaking

USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE

Tuesday, March 13, 2018

CHRISTIAN RONALDO VS LIONEL MESSI NANI ZAIDI ISIWE TABU SANA MAMBO NI HIVI

JIUNGE NA NIJUZEHABARI.CO.TZ SASA!


Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FACEBOOK, TWITTER na INSTAGRAM ili kupata habari zote za Michezo na Usajili! Usikose Kudownload APP yetu ya NIJUZEHABARI BOFYA HAPA

Na Yego Sholla

Kumekuwa na mdahalo mkubwa sana katika kipindi kisichopungua miaka 10 kuhusu nani bora baina ya Crisiano Ronaldo na Lionel Messi katika medani ya soka Duniani Ulimwengu wa soka Tz umeripoti

Na mdahalo ambao pengine unaweza usiishe mpaka hawa jamaa wawili watakapostaafu kucheza kandanda.

Lakini kuna mshabiki mmoja kaona kwanini ajinyime raha ya kushuhudia wachezaji wawili bora kabisa kuwahi kusukuma ngozi , na kufurahia kuwaangalia kila siku.

Kaamua kuwa na jezi moja ambayo ina pande mbili za Barca na Real , huku kwenye jina kukiwa na herufi za Messi na Ronaldo na namba pia ni mjumuiko wa namba 10 na 7.

Naungana naye binafsi , acha tu niwafurahie kwa kujipa raha kuliko kutumia muda mwingi kuwashindanisha nani bora kuliko mwenzake.

Nani yupo pamoja na mimi na huyu shabiki ? kwa kuacha kuwashindanisha ???😀😀😀😀😀

No comments:

Post a Comment