80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

CHRISTIAN ERIKSEN AMESEMA HAFIKIRII SUALA LA KUONDOKA KATIKA KLABU YA TOTTENHAM HOTSPUR

Na Yego Sholla

KIUNGO wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen amesema hafikirii suala la kuondoka timu hiyo bali anawazia kushinda mataji.Kiungo huyo mahiri amekuwa anafuatiliwa na vigogo vya soka barani Ulaya.

Barcelona imetajwa kama miongoni mwa klabu zinazotaka kumsajili nyota huyo.“Kusema ukweli sifuatilii mambo ya timu zinazonihitaji lakini akili yangu zaidi ipo kuisaidia Tottenham kutwaa mataji,” alisema Eriksen, ambaye anategemea kuongezewa mkataba na Tottenham hivi karibuni.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE