80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

CARLOS TEVES YAMKUTA "AUMIA" BOCA JUNIOR WAFUNGUKA HAYA

Na Yego Sholla

Lazima ilikuwa jambo la kushangaza kwa Carlos Tevez pindi aliporejea klabuni kwake Boca Juniors na kufanyiwa vipimo kuonekana ameumia .

Hiyo ni kwasababu jeraha lake la kiazi cha mguu limeripotiwa kupatikana pindi alipokuwa ana sakata kandanda ndani ya Gereza ambalo kaka yake amefungwa.

Taarifa zinasema kwamba mtanange wa nguvu wa takribani dakika 20 ulimuacha straika huyo akipata jeraha la misuli ambalo litamuweka nje kwa muda wa wiki tatu hadi mwezi.

Tukio hilo lilitokea katika Gereza la Cordoba, ambapo kaka wa Tevez, anaeitwa Beto anatumikia kifungo cha miezi 16 kwa kushiriki wizi wa kutumia silaha.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE