80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

BREAKING NEWS :NYAMLANI KAIMU MAKAMU WA RAIS WA TFF

Na Yego Sholla

Kamati tendaji cha shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imemteua Ndg Athuman Nyamlani kuwa kaimu Makamu wa Rais wa shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Nyamlani anachukua nafasi ya Michiel Richard Wambura aliyefungiwa maisha na kamati ya maadili kutojihusisha na masula ya mpira. Ingawa Michael Richard Wambura amekata rufaa katika kamati ya Rufaa ya TFF.

Kwa mjibu wa Kanuni na Taratibu za TFF mtu ambaye anatakiwa kukaimu nafasi ya Uongozi kwa nafasi ya kuchaguliwa anatakiwa kuwa mjumbe wa muda mrefu wa TFF ambaye yupo kwenye kamati tendaji. Kwa wajumbe wa kamati tendaji ambao wana muda mrefu kwenye shirikisho kwa sasa ni watatu (Mgoyi, Nyamlani na Khalid)

Kikao cha kamati tendaji kinachoendelea jijini Dar, kilishidwana kwenye kumpitisha Athuman Nyamlani kukaimu nafasi hiyo ndipo kura za Ndio na hapana zikapigwa na kura za Ndio zikawa nyingi akapitishwa Athuman Nyamlani kuwa kaimu Makamu wa Rais wa TFF mpaka pale mkutano mkuu utakavyoamua vingine.


No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE