80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

BODI YA LIGI KUU YA SOKA YA TANZANIA BARA VODACOM PREMIER LEAGUE KUKUTANA LEO

Na Yego Sholla


Bodi ya ligi leo inatarajia kutangaza tarehe ya mchezo wa ligi kuu wa watani wa jadi Simba na Yanga ambao uliondolewa kutokana na muingiliano wa ratiba ya Caf.

Simba na Yanga sc ilikuwa zikutane April  7 lakini siku hiyo Yanga sc  itakuwa na mchezo wa shirikisho dhidi ya Dicha.

Simba imeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi Njombe mji utakao pigwa April 3 katika uwanja wa Sabasaba pamoja na mchezo dhidi ya Mtibwa sugar utakao pigwa April 8.

Kikosi cha Yanga chenyewe leo kitaendelea na mazoezi kujiweka sawa na mchezo wa Azam sports federation cup dhidi ya Singida united utakaopigwa April 1 katika dimba la Namfua.

Baada ya mchezo huo kikosi hicho cha Wanajangwani kitarejea Dar es Salaam kujiwinda na mchezo dhidi ya Dicha ya nchini Ethiopia.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE