80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

BAO LA SAMATTA LAUMIZA MIOYO YA WAKONGO, WATAKA VIONGOZI WA WAACHAIE NGAZI

Mashabiki wa DR Congo wameamsha sekeseke kwa shirikisho la soka nchini humo wakidai halikuwa na maandalizi mazuri na timu yao.


Hii inatokana na kero ya kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tanzania na hasa lile bao na nahodha, Mbwana Samatta.


Wengi wa mashabiki waliotoa maoni yao katika kipindi cha Okapi Radio wamelaani kitendo hicho.


Mtanzania Rashid Said anayeishi nchini Congo amesema wamekuwa wakilalamika sana na hasa bao la Samatta.


“Unajua huku hawaelewani sana na hasa maeneo, mfano hapa Lubumbashi na Kinshasa ni mbali sana na watu wana maisha tofauti utafikiri ni nchi mbili tofauti.


“Lakini linapofikia suala la mpira, wanaungana na wanazungumza lugha moja. Hawakupenda kufungwa na Tanzania lakini kufungwa na Samatta kumewaudhi zaidi.


“Wanalalamika sana na katika maoni yao wanataka hata viongozi wa shirikisho lao waachie ngazi,” alisema.


Samatta alifunga bao la kwanza katika mechi hiyo ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, huku Shiza Kichuya akimalizia kazi kwa kufunga bao la pili.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE