80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

BADADILIKO YA KIKOSI CHA TANZANIA DHIDI YA ALGERIA

Mlinda lango namba moja nchini Aishi Manula ameondolewa kwenye kikosi cha Tanzania 'Taifa Stars' kinachoivaa Algeria kwenye mchezo wa kirafiki leo.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na Shirikisho la soka nchini (TFF), Manula ameondolewa kikosini kutokana na matatizo ya kiafya.

"Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Salum Mayanga amefanya mabadiliko ya kikosi muda huu baada ya madaktari kuthibitisha golikipa Aishi Manula hataweza kuanza," imeeleza taarifa ya TFF.

Kikosi kamili kinachoanza leo ni
1. Mohamed Abdulrahman
2. Shomari Kapombe
3. Gadiel Michael
4. Abdi Banda
5. Kelvin Yondani
6. Himid Mao
7. Saimon Msuva
8. Mudathir Yahya
9. Mbwana Samatta
10. Said Ndemla
11. Shiza Kichuya

SUB
Ramadhani Kabwili
Hassani Kessy
Erasto Nyoni
Shabani Iddi
Ibrahim Ajibu
Yahaya Zayd
Mohamed Issa
Rashid Mandawa
Faisal Salum

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE