80%

Kwa sasa tunapatikana kupitia www.nijuzehabarionline.com bofya kama haikupeleki kiautomatiki.

Your Trialversion has expired please purchase for unlimited plan.
Copyright ©

Facebook

Follow by Email

LIVE TRAFFIC STATS

Gallery

Featured Posts

Videos

Recent Posts

Recent in Sports

Column Right

Feat

Carousel

Column Left

Featured

Breaking News

ARTURO VIDAL CHANGUO LA KWANZA LA MOURINHO

Na Yego Sholla

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho anataka kumsajili kiungo wa Bayern Munich  Arturo Vidal  majira ya kiangazi, kwa mujibu wa taarifa kutoka La Cuarta.

Mourinho anataka kuimarisha safu yake ya kiungo ambapo Michael Carrick anastaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu huu na Marouane Fellaini anatarajiwa kuondoka Old Trafford mwishoni mwa msimu huu ambapo mkataba wake unafikia tamati.

Na kwa maana hiyo, taarifa kutoka  La Cuarta zinadai kwamba Kiungo wa kimataifa wa Chile, Vidal yupo kwenye rada ya United na huenda wakatoa ofa ya Pauni Milioni 43 kupata saini yake.

United watajaribu kumshawishi Vidal ambaye ana mkataba na Bayern Munich mpaka mwaka 2019 , kuhamia Man United kwa ofa ya mkataba wa miaka minne wenye thamani ya Euro Milioni 14 kwa mwaka.

No comments

Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Total Pageviews

Blog Archive

Blog Rafiki

Breaking

NIJUZEHABARI ONLINE